Kwanza nianze Kusema by 2025 zaidi ya watu milioni 10(watanganyika) na watu laki mbili wazanzibar kulinganisha na 2020 watakuwa wamefikisha Umri wa angalau miaka 18, na Hawa wengi ni vijana...
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.
Ukikaa kwenye kisimbusi chako...
Imekuwa ni dhahiri kwamba wanasimba wengi hawana elimu ya hizi bilioni 20 na hivyo wana kila haki ya kuzihoji zilipo sababu hawana elimu, Mjinga ni mtu anaebisha sababu hajui hivyo inahitaji...
Ulishawahi kuona yale Mazingira ya kushindwa jambo au kukosa fursa kabla hata hujaipata, basi kuna wakati unaweza kujikuta umefeli Interview hata kabla ya kupewa Majibu na Kampuni husika...
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
Hivi majuzi tulikusanya orodha ya Nchi 20 Bora zenye Mfumo Bora wa Elimu Duniani na katika makala haya, tutaangalia nchi inayoongoza kwa mfumo bora wa elimu duniani.
Mitindo ya Elimu Ulimwenguni...
Shirikisho la soka duniani FIFA limetumia rangi za rainbow 🌈 kwenye profile yake hii ina maana gani kwa s mashabiki wa football wasi unga mkono hayo mambo pia kwa vyama wanachama wausio unga mkono...
Anaandika Mhe. Hamisi Kigwangwala
“Kama ni kudaiana tu, tena bila mikataba, basi na sisi wana @SimbaSCTanzania tunamdai mwekezaji pesa nyingi sana!”
“Tulimtaka aweke bilioni 20 kwenye account...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.