Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo ndio usiku ambao wanamichezo mbalimbali Tanzania watapewa tuzo katika shughuli inayoendelea Sasa hapa ukumbi wa the Dom Masaki. Mgeni rasmi ni Kasim Majaliwa na MC ni msemaji wa Azam NB Nje...
2 Reactions
74 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa takwimu, nchi za Kiarabu zipo 22. Kumi na mbili zipo bara la Asia na kumi zipo Afrika. Zilizopo Afrika ni Algeria, Comoro, Djibouti, Misri, Libya, Mauritania, Morocco, Somalia...
3 Reactions
32 Replies
318 Views
Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n...
16 Reactions
140 Replies
2K Views
Ukraine bado wanaendelea kumtia aibu supapawa wenu, sasa sijui nani atawaokoa maana juzi hapa tuliona hata Iran kubwa lenu alishindwa kufanya chochote kwa Israel hata baada ya kutuma makombora...
4 Reactions
21 Replies
606 Views
Assalam aleikyum guys Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi...
3 Reactions
3 Replies
4 Views
Mungu awabariki hawa wapalestina wazalendo ambao wanawasaidia watateule Israel kuwapa taarifa za kijasusi Mossad na Shin Bet Tiss ya Israel. Kupitia hao waarabu waislam wapalestina wazalendo...
2 Reactions
28 Replies
276 Views
Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na...
32 Reactions
102 Replies
2K Views
UTANGULIZI Matikiti maji hulimwa kama zao la biashara katika sehemu nyingi duniani zenye hali ya hewa ya joto la wastani, zao hili huwapatia watu kipato. Matikiti maji ni mojawapo ya jamii za...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Mods uzi una maudhui tofauti na nyuzi zilizopita japo nimezitumia kama Mfano. Nimeweka Link ya Mijadala hiyo Miwili ili kuweka kumbukumbu sawa. Kuna mada imetrend sana kwenye jamvi letu kuhusu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
7 Reactions
74 Replies
558 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,739
Posts
49,839,924
Back
Top Bottom