Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Prof. Aminirabi Erasto N. Kweka, Provost Mstaafu wa SMMUCo. Ameitwa na Bwana, Juni 8, 2024, JKCI. Mwili wake umesafirishwa kwa maziko kwenda Moshi baada ya Ibada fupi, Muhimbili Chapel. Ayubu...
0 Reactions
5 Replies
53 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi...
8 Reactions
179 Replies
2K Views
Kwanza nianze Kusema by 2025 zaidi ya watu milioni 10(watanganyika) na watu laki mbili wazanzibar kulinganisha na 2020 watakuwa wamefikisha Umri wa angalau miaka 18, na Hawa wengi ni vijana...
0 Reactions
7 Replies
70 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views
Mimi ni mgojwa wa vidonda vya tumbo Kuna dawa asili natumia Sasa hivi tumbo naweza kulialia halisumbui ila tatizo lililobaki kiungulia hasa nikitembea au nikilala kinakamata ila nikikaaa...
1 Reactions
8 Replies
10 Views
Naisaka No ya mama mkwe Leo hadi niipate,na niongee nae!!!! Japo nimpe hiii!!!! Mbona hanitambulishi tu jamani Leo najitambulisha mwenyewe!!!!!! Nimechoka jamani.....
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana...
9 Reactions
43 Replies
1K Views
Nimefanya kilimo cha parachichi kwa miaka nane sasa, nilichokiona ni haya; 1. Kilimo kina mzunguko wake ni mdogo parachichi huzaa kidogo kidogo kadri miaka inavyoenda, unatumia million 10 unapata...
64 Reactions
179 Replies
16K Views
Huyu jamaa sijui anavutaga bangi kabla ya kuongea!!
2 Reactions
12 Replies
85 Views
Rafiki yangu mpendwa, Nimekuwa napenda utajiri tangu nikiwa mtoto mdogo. Nakumbuka niliwahi kumwambia mama yangu kwamba kwenye maisha yangu lazima nitakuwa tajiri. Alicheka na kuniambia ni utoto...
25 Reactions
67 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,557
Posts
49,833,899
Back
Top Bottom