Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee.
Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu.
Jana...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda ameagiza kuhamishwa kwa Wakuu wa Idara mbalimbali za Mkoa wa Arusha ambao wamehudumu kwenye Mkoa huo kwa zaidi ya miaka mitano.
Waliohamisha kwa...
Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya โmeterโ na โSquare meter?
Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa โSquare meterโ, halafu yeye anakupa...
Kila mtoa huduma ambae ana sadikika ana nguvu kubwa ya uponyaji anaweka makazi na huduma yake katika majiji makubwa, why?
Ina maana Hakuna mtumishi mwenye karama kubwa alie inuliwa tandahimba...
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Wabunge yameonesha Chama tawala cha African National Congress (ANC) kina dalili za kupoteza wingi wa Viti Bungeni kwa mara ya kwanza tangu kiingie Madarakani Miaka...
Mzuka wanajamvi
Ngebe, Nyodo, majigambo, madharau, hulka, mihemko, husda, kujiona na kiburi cha Julius Malema kinafika ukingoni. Baada ya matokeo ya awali ya uchaguzi Africa kusini kuonesha...
Jina la John Pombe Magufuli limejikita katika historia ya Tanzania kama kiongozi mwenye maono na utendaji wa kasi. Moja ya alama kubwa za uongozi wake ni Ubungo Flyover, daraja ambalo...
Wanawake wana nguvu kubwa mno ya kubadili mwenendo wa wanaume endapo watatumia nguvu zao vizuri. Binafsi nilikuwa na uraibu wa kwenda kununua madadapoa kwa miaka kadhaa ila alijitokeza mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.