Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Maandalizi yote ya Uchaguzi wa Chadema Kanda ya Nyasa yale ya ndani ya Ukumbi, Nje ya Ukumbi, pamoja na mazingira yote kabisa yamekamilika. Wajumbe wote kwa wingi wa 100% wamewasili na kwa...
3 Reactions
22 Replies
336 Views
Babangu ana miaka 59, lakini wazazi wake wote wametangulia mbele za haki. Je, ni yatima?
1 Reactions
6 Replies
100 Views
Msikie mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele raia wa Congo DR ambaye kwa sasa anasakata kabumbu la kulipwa Pyramids FC ya Misri. “Pamoja na kwamba kumekuwa na vita kubwa juu yangu kwenye...
8 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari wakuu, RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake Afisa kala shavu ofisi ya...
12 Reactions
45 Replies
2K Views
Kama kawaida yake uislamu ni dini ya haki na isiyotoa mwanya wa ujanja,utapeli na unyonyaji. Masheikh mbali mbali wameendelea kuweka wazi msimamo huo wa uislamu ambao umo kwenye Qur'an na suna za...
8 Reactions
48 Replies
1K Views
Mbowe , Lisu and all concerned, take care of this. Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM. Malumbano yao hayana "UPENDO" ila...
2 Reactions
10 Replies
88 Views
Wakuu ni hivi kutokana Hali ilivyo sasa naona kuna kila sababu ambayo itaitoa Dar kama namba moja katika swala Zima la uchumi. Sababu ni hizi. 1. Kuhamishwa Kwa ikulu na ofisi za Serikali. Hii...
23 Reactions
412 Replies
17K Views
Mbunge wa viti Maalumu Mkoa wa Mbeya bibie Fyandomo amesema Mtu akienda Mbeya hawezi jua mjini ni wapi Kutokana na Mpungilio wa Jiji lenyewe. Akaonheza kwamba watu wa Mbeya wanataka Jiji lao...
9 Reactions
121 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda. Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini. Ujumbe wake huu hapa ---...
15 Reactions
68 Replies
2K Views
Bei ya Tv 1.2m (Fixed Price) Warranty 3yrs Used : Imetumika 1 month mpaka sasa. Milioni 1 na Laki Mbili (Bei haipungui) ipo Dar es Salaam - Kibanda cha Mkaa.
0 Reactions
5 Replies
83 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,067
Posts
49,737,275
Back
Top Bottom