Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Mathayo 24:9-14 9 Wakati huo watawasaliti ninyi mpate dhiki, nao watawaua; nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu. 10 Ndipo wengi watakapojikwaa, nao...
1 Reactions
20 Replies
83 Views
Kwanza nianze Kusema by 2025 zaidi ya watu milioni 10(watanganyika) na watu laki mbili wazanzibar kulinganisha na 2020 watakuwa wamefikisha Umri wa angalau miaka 18, na Hawa wengi ni vijana...
4 Reactions
28 Replies
444 Views
Live kutoka viwanja vya stendi ya zamani Singida mjini, kipenzi cha watu na rais wa wananchi Tundu Antipas Lisu amefunguka na kusema alimtimua Abdul alipompelekea rushwa na kumwambia "shenzi...
43 Reactions
270 Replies
8K Views
Anaandika Mhe. Hamisi Kigwangwala “Kama ni kudaiana tu, tena bila mikataba, basi na sisi wana @SimbaSCTanzania tunamdai mwekezaji pesa nyingi sana!” “Tulimtaka aweke bilioni 20 kwenye account...
23 Reactions
71 Replies
2K Views
Wanakumbi 🚨🇮🇱GANTZ TO ANNOUNCE PARTY'S EXIT FROM ISRAELI GOVT National Unity chairman Benny Gantz will hold a press conference today at 1:30 p.m. ET, after canceling a Saturday announcement of...
3 Reactions
35 Replies
358 Views
Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n...
16 Reactions
138 Replies
2K Views
Jana usiku, nilikuwa mmoja wa watu niliobahatika kuona mahojiano ya baadhi ya wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa Simba kwenye social media moja, nilisikiliza sana hoja za mjumbe anajiita CPA Issa...
10 Reactions
35 Replies
806 Views
Habari zenu wakuu? Eti kwamba mwanaume ukiwa na msongo wa mawazo (stress) unapaswa kulia machozi kwamba inasaidia kukutuliza na kukuepusha magonjwa ya afya ya akili? Iko hivi ndani ya miaka...
3 Reactions
20 Replies
191 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,737
Posts
49,839,851
Back
Top Bottom