Kwa mujibu wa takwimu, nchi za Kiarabu zipo 22. Kumi na mbili zipo bara la Asia na kumi zipo Afrika.
Zilizopo Afrika ni Algeria, Comoro, Djibouti, Misri, Libya, Mauritania, Morocco, Somalia...
Kiukweli putin kwa miaka kumi iliyoipita kwa kiasi amefanikiwa kuisumbua USA kutotimiza malengo yake kwa asilimia mia moja
Kuanzia kule mashariki ya kati,syria na hata sasa Ukraine
Lakini...
Wanakumbi
🚨🇮🇱GANTZ TO ANNOUNCE PARTY'S EXIT FROM ISRAELI GOVT
National Unity chairman Benny Gantz will hold a press conference today at 1:30 p.m. ET, after canceling a Saturday announcement of...
Kama ambavyo sisi hulalamika pale wanaotuhudumia wanaofanya vibaya, basi ni jambo jema la kiungwana kuwakumbuka na kuwapongeza wanaofanya vizuri.
Katika maisha yangu, sijawahi kushuhudia Tanzania...
Leo ndio usiku ambao wanamichezo mbalimbali Tanzania watapewa tuzo katika shughuli inayoendelea Sasa hapa ukumbi wa the Dom Masaki.
Mgeni rasmi ni Kasim Majaliwa na MC ni msemaji wa Azam
NB
Nje...
Linajifanya taifa lenye nguvu kumbe hamna kitu, Miezi 9 ya vita sasa wameshindwa kung'amua mateka wako wapi...Miezi 9 wameokoa mateka wanne kwa maana hyo itawachukua miaka 22 kuwaokoa mateka...
Mungu awabariki hawa wapalestina wazalendo ambao wanawasaidia watateule Israel kuwapa taarifa za kijasusi Mossad na Shin Bet Tiss ya Israel.
Kupitia hao waarabu waislam wapalestina wazalendo...
Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia...
Kila nikiwaza kujenga hofu yangu inaingia pale ninapofikiria mafundi watakavyonibia cement, nondo na material mengine. Je, ni kweli wapo mafundi ambao wanaweza kuwa waaminifu katika ujenzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.