Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu pokeeni salamu zangu, Mahari kama inavyochukuliwa na jamii nishukrani kwa wazee kwa ajili ya kumtunza binti, kwa hali ya sasa ilivyo ni vigumu kupata binti aliyejitunza mpaka siku ya ndoa...
8 Reactions
187 Replies
19K Views
Kumetokea urushianaji wa risasi baina ya vikosi vya Israel na vile vya Misri vilivyo upande wa pili wa mpaka eneo la Rafah ambapo askari kadhaa wa Misri wamejeuhiwa na mmoja kati yao kufa. Tayari...
5 Reactions
47 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda. Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini. Ujumbe wake huu hapa ---...
11 Reactions
48 Replies
1K Views
Tunaposema chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Watanzania wamekuwa na raha lazima tuwe Tunaelezwa, Tangu uhuru rekodi hii ya furaha kwa Watanzania haijawahi kufikiwa, #Sasa 2025 tumuache...
22 Reactions
117 Replies
4K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
267 Reactions
164K Replies
5M Views
Mkuu wa kitengo cha ujasusi wa Israel, Mosad ametishia mwendesha mshataka wa ICC asipoachana na mashtaka ya genocide mauaji ya alaiki dhidi ya Israel, personal security yake na wanafamilia yake...
4 Reactions
24 Replies
769 Views
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza. Ipo siku nitampatia huu ujumbe...
0 Reactions
13 Replies
204 Views
Azam kutoa Milioni 50 kila mwezi kwa kila timu ya ligi kuu, hadi sasa umeona mabadiliko yapi kwenye ushindani wa ligi yetu? Ewe mdau wa soka la Tanzania, umeona mabadiliko ?
1 Reactions
13 Replies
243 Views
Peace, Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho...
27 Reactions
122 Replies
2K Views
  • Suggestion
Kukuza Sekta ya Habari na Mawasiliano kwa Tanzania Ijayo Sekta ya habari na mawasiliano ina jukumu muhimu katika maendeleo ya jamii, uchumi, na demokrasia katika Tanzania. Kwa kuangazia...
0 Reactions
1 Replies
23 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,063
Posts
49,737,102
Back
Top Bottom