Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mods wamefuta thread kuhusu Tetesi za kisiwa cha mafia kuuzwa Rudisheni hiyo thread nani kawapigia simu muufute? Tetesi inabidi itungwe kwa Hoja pamoja na kukanusha katika forum ya "SI KWELI"...
2 Reactions
8 Replies
9 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
268 Reactions
164K Replies
5M Views
Habari wana Jukwaa, Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa...
9 Reactions
49 Replies
1K Views
Naomba Kuuliza play store wana tabia ya kufuta baadhi ya App? Kuna App nyingine inayofanya kazi kama play store ? Kama ipo inaitwaje (zinaitwaje)
0 Reactions
3 Replies
26 Views
Huko Afrika Kusini. Mpelelezi wa Kesi ya Thabo Bester ashapewa chuma na wahuni (wasiojulikana). Hii kesi itaisha kimafia. Na hakuna atakayefungwa bali vifo kadhaa vitatokea. Huyo Bester ni suala...
6 Reactions
105 Replies
11K Views
=== Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania. Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
30 Reactions
187 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na na chuki binafsi...
0 Reactions
84 Replies
437 Views
Soma tena kichwa cha habari ukielewa, nitext PM.
6 Reactions
27 Replies
291 Views
Ukatili wa kijinsia na mauaji ya wanawake ni tatizo kubwa na linaloenea sana nchini Afrika Kusini. Katika jamii za mijini na vijijini, wanawake na watoto wanakumbwa na ukatili kila siku kote...
0 Reactions
11 Replies
286 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,456
Posts
49,830,862
Back
Top Bottom