Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habar mwanajukwaa. Jana kwa jirani moto umeanza kuwaka kumbe ule moshi ulikua unavuka ndani kulikua na moto hatukujua tu.😂 Zile ngonjera za kuwafunga kina GB 64 na kusema wanaihujumu timu. Mara...
0 Reactions
2 Replies
14 Views
Bodi ya mikopo imefungua rasmi dirisha la maombi. Kazi kwenu.
1 Reactions
13 Replies
414 Views
Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo...
17 Reactions
172 Replies
6K Views
Anachukua nafasi ya Shaka Hamdu Bado haijafahamika kama Hamdu Shaka atapangiwa majukumu mengine au ndio Kabwagwa jumla. === Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM...
34 Reactions
277 Replies
26K Views
Swali ambalo huwa najiuliza, hivi ufanye huu ukatili wote halafu hatimaye uje kugundua huyo "mungu" unayemuadu kumbe siye. Njemba nne zilizoshiba zinamchangia mwanamke mmoja na kumcharaza kisa...
8 Reactions
90 Replies
2K Views
"Fedha zote ambazo MO alikuwa anazitoa yaani za kununua mchicha, kununua kandambili boxer za wachezaji zozote zile ambazo ametoa kwenye Simba Sports Club anazidai, na ameelekeza zibadilishwe ndio...
2 Reactions
15 Replies
194 Views
HUWEZI LAZIMISHA MWANAMKE AKUHESHIMU, MWANAMKE ANAMHESHIMU MWANAUME ANAYEMPENDA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanaume wengi hudhani kúmpiga Mwanamke ndio humfanya Mwanamke awe mtiifu na...
4 Reactions
14 Replies
93 Views
Wadau hamjamboni nyote? Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi. Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu...
12 Reactions
178 Replies
4K Views
Erik Prince, afisa wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Marekani na mwanzilishi wa kampuni ya binafsi ya kijeshi ya 'Blackwater', hivi karibuni alitoa maoni yake kwamba nchi za Kiafrika zinapaswa...
5 Reactions
40 Replies
771 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,486
Posts
49,831,676
Back
Top Bottom