story hii ya cpa
CPA Issa Masoud ni miongoni mwa Wajumbe waliongea na Waandishi na kueleza kuwa kuna vitu wanapishana na Muwekezaji MO Dewji kwa sababu vinakiuka utaratibu na matakwa ya kikanuni...
25th April, 2015 Serikali ya Tanzania chini ya Raisi Jakaya Kikwete ilipitisha sheria no 12 ya mwaka 2015 (SHERIA YA BARAZA LA VIJANA LA TAIFA YA MWAKA, 2015) ambayo chini ya kifungu cha 4 cha...
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.
Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.
Niwakumbushe Nyalandu...
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi
Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio...
Huwezi kumsajilia wachezaji kocha, mtasumbuana sana kwenye matokeo. Unamtumia Mgunda na Matola kwenye usajili kisha timu unamkabidhi mzungu aifundishe!!! Umefeli kabla ya ligi kuchezwa.
Habari za wakati huu ndugu zanguni.
Nimekaa mahali maeneo ya magomeni karibu na bara bara kuu nikasikia hilo tangazo, wakitangaza kupitia gari ndogo maarufu kama "KIRIKUU"
Kwa mujibu wa...
Hahahahaa......Mambo mengine inabidi tucheke tu hata kama yanahuzunisha.
Utangulizi
Marekani ina Majimbo 50 na jumla ya Wananchi( raia) wapatao Milioni 330+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.