Nguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi.
Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu.
Noa Argamani, ambaye utekaji...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na na chuki binafsi...
Nimeona taarifa ktk mitandao na humu JF kuhusu Dr. Slaa kusema kisiwa cha Mafia kipo ktk mchakato wa kuuzwa
Kwa kifupi kisiwa cha mafia hakiwezi kuuzwa, wala kukodishwa kwa mwekezaji au nnchi...
Vita ya pili ya dunia ilikuwa inaelekea kumalizika , na Ujerumani kinara wa vita , ilikuwa dhahiri kwamba wamepoteza vita kilichobaki ilikuwa ni kusalimu amri.
Mbaya zaidi , mshirika wao wa karibu...
Wakuu bila shaka ni wazima, bila shaka wote tunaelewa maisha yalivyojaa changamoto za kila aina.
Kuna watu ni wepesi kueleza yale yanayowasibu, ila kuna akina sisi ambao huwa tunakufa na tai...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2012, Nilikuwa nikifanya field katika Kampuni flani ya Ujenzi,,
Nikajenga urafiki na mtoto wa moja ya Wakurugenzi wa Kampuni (G), alikuwa akisoma Marekani.alikuja Dar kama...
CCM haipo mbali na huu ukweli, wataanza kuform serikali ya mseto kisha itaondolewa madarakani.
Moja ya matamanio ya Wa TZ ni CCM kuanguka.
CCM has proven failures kwenye kila sekta, na for as...
Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.