Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

📍Wafanya Usafi Soko la Kemondo. Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Bukoba Vijijini chini ya Mwenyekiti wake Ndugu Andrew Byera kwa kushirikiana na Afisa Tarafa wa Tarafa ya...
1 Reactions
7 Replies
51 Views
Hahahahaa......Mambo mengine inabidi tucheke tu hata kama yanahuzunisha. Utangulizi Marekani ina Majimbo 50 na jumla ya Wananchi( raia) wapatao Milioni 330+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022...
1 Reactions
5 Replies
196 Views
Habari, Ngoja nianzia mbali kidogo mpate kuelewa mke wangu ni mtu wa aina gani. Na ilikuwaje mpaka nikazaa nje. Mimi na mke wangu tulikutana kwenye kongamano la injiri kipindi namaliza chuo yeye...
57 Reactions
267 Replies
19K Views
Mjumbe wa Bodi ya Simba SC CPA ISSA MASOUD akiongea na Waandishi wa habari Jana, amekiri kwamba shilingi bil.20 alizoahidi mwekezaji Mohamed Dewij "Mo" hazijawahi kuwekwa popote Bali aligeuza...
1 Reactions
8 Replies
92 Views
Kino Yves ni mtalii Raia wa Ufaransa anayezunguka Dunia nzima Kwa baiskeli ya miguu mitatu kama Ile ya walemavu wa miguu inafana kidogo Alipofika kigoma kijijini sana alikutana na meanakijiji...
5 Reactions
16 Replies
272 Views
Swali ambalo huwa najiuliza, hivi ufanye huu ukatili wote halafu hatimaye uje kugundua huyo "mungu" unayemuadu kumbe siye. Njemba nne zilizoshiba zinamchangia mwanamke mmoja na kumcharaza kisa...
8 Reactions
97 Replies
2K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
383K Replies
11M Views
Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini. Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani...
3 Reactions
8 Replies
134 Views
Hapa nazungumzia Vyama vinavyopata Ruzuku na vina Wabunge bungeni mfano CCM na CHADEMA; 1. Mshahara 9m TZS (net); 2. Gari (SUV) mafuta, matengenezo na dereva; 3. Diplomatic Passport (VIP lounge...
3 Reactions
23 Replies
857 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,486
Posts
49,831,676
Back
Top Bottom