Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na...
5 Reactions
53 Replies
149 Views
Ndugu zangu wa Yanga kama nilivyoandika kwenye kichwa changu cha habari. Siku itakayopangwa na hao wahuni kwa lengo la kutoa hizo tuzo zao, msihudhurie. Maana itakuwa haileti mantiki. Mkifanya...
2 Reactions
16 Replies
301 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel. Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
6 Reactions
110 Replies
2K Views
Mimi ni kijana nayependa sana miguu yangu, Haya mapenzi yameanza zamani wakati nasoma shule ya msingi kipindi nilipoanza kuoga mwenyewe. Nishagombana sana na ndugu zangu wa damu na mama yangu...
12 Reactions
110 Replies
1K Views
Imetokea kuna binti 21 yrs, nilikuwa napunguza naye upwiru (siyo mchumba), akapata mimba na kujifungua mtoto. Wazazi wake hawanijui hata chembe maana ni miji (, hometowns) yetu ni tofauti na iko...
3 Reactions
101 Replies
2K Views
Chukua hii nakupa; japo hatupangiani maisha kila mtu anajua jinsi anavyoyaendesha ila kiukweli life ni gumu ndugu zangu na mwaka huu huku mashambani hali sio hali hasa Kwa upande wa zao la...
8 Reactions
72 Replies
1K Views
Mambo vipi wakuu hapa juzi Kati nilinunua simu ya redmi used note 12 5g ushauri alinipa mkuu Chief-Mkwawa hii simu nimeuza baada ya mwama mmoja kuja na dau kubwa zaidi ya lile nililo nunulia...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Me bwana sometimes naona kama mfumo tuliopo mzuri kiasi fulani kwani mbona kama ngono watu wanafanya sana na bado wanakula na bado wa nacheka na bado wanashabikia mpira na bado wanaenda Kule Dubai...
1 Reactions
0 Replies
1 Views
Mh Nape Nnauye Watanzania wako wana uelewa mkubwa sana kuhusiana na maswala yote ya faragha, ndio maana hakuna Kibandaumiza chochote kinachoonesha video za ngono na wala hakuna sehemu yeyote ya...
4 Reactions
16 Replies
343 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,652
Posts
49,752,002
Back
Top Bottom