Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Moja ya vitu ninajivunia hapa duniani ni watu. Nina marafiki kadhaa ambao kwakweli tunarahisishiana maisha kwa kiasi kikubwa. Ni marafiki tuliojuana kwa miaka kadhaa na tunapigana tafu. Si urafiki...
5 Reactions
36 Replies
926 Views
Japo mimi siyo mpenzi wa Simba SC Lakini nimemuelewa sana Gonzalez Alichoongea ndio Ukweli Wenyewe huku Siasani --- Kweli watu wanalipwa kupost picha za mtu kazini? Watu wazima kabisa wanakaa...
3 Reactions
11 Replies
398 Views
Wakuu kama ni usafi huwa najisugua hadi damu, hadi majeraha, kama ni boxa ninazo zaidi ya 10, usafi nazinagtia. Naombeni msaada kama una dawa au unafahamu dawa, Hapa chini nimeambatanisha dawa...
3 Reactions
49 Replies
1K Views
Ukiondoa nyakati za Kampeni za Uchaguzi sijawahi kumshuhudia Tundu Lissu akifanya Mikutano kwa spidi hii tena wakiwa wawili tu kutoka Chadema HQ yaani yeye mwenyewe na Twaha Mwaipaya wa Bavicha...
19 Reactions
78 Replies
2K Views
Ni hatari kwa kweli Utu na Upendo vinatoweka kwa kasi sana hapa duniani Jumapili ya kesho nitaitumia kuliombea taifa la Tanzania Ili Mungu wa mbinguni aturejeshee ule Upendo wa mwanzo...
3 Reactions
39 Replies
912 Views
Uchunguzi wa kijasusi uliofanywa na BBC umegundua yafuatayo. 1) Mteja mtarajiwa hutumiwa meseji akiambiwa kwamba amechaguliwa kupata mkopo wa kiasi flani, hivyo afuate link ya ‘playstore’ ili...
13 Reactions
63 Replies
4K Views
Karibuni Wana jF Mimi kama dalali kijana nakuja kwenu na offer kubwa ya altezza inayohitaji million 7 tu na ipo katika clean condition
1 Reactions
4 Replies
48 Views
Leo Jumapili Freeman Mbowe amefika kwenye kanisa la KKKT Azania Front na kufanya maombi maalum yakiambatana na Sadaka, kwa lengo la Kumshukuru Mungu. ========= Freeman Mbowe: Leo nimewaona...
29 Reactions
100 Replies
7K Views
Wakuu kwema. Hivi karibuni nilikuja humu kuomba msaada wa jinsi ya kutibu hizi fangasi baada ya kushindikana hospital Nimekuwa nikipewa dawa ileile kwa kila daktari nayemtembelea, nimeenda hadi...
8 Reactions
65 Replies
1K Views
Kwa wale wapenda nyimbo za wana harakati Roma mkatoliki katupa album kalii sana kuanzia track number 1 hadi 15 zote ni nzuri sana roma mkatoliki pokea maua yako je ipi ni track ipi umeipenda...
2 Reactions
6 Replies
184 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,464
Posts
49,830,986
Back
Top Bottom