Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na...
Mpaka kufikia 2022, kuna aina 3,971 za nyoka zinazojulikana na karibu spishi 600 zenye sumu ulimwenguni, na karibu 200 wanaweza kuua mwanadamu. Huu ni muhtasari wa nyoka ambao huhatarisha sana...
Hizo Pilika pilika, shamra shamra , shangwe , kishindo na Mtikisiko uliousikia Nchi nzima unahusu kanda 4 tu
Ifahamike kwamba bado kuna kanda 6 hazijafanya uchaguzi, sasa bado hatujui nini...
Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na...
kwa siku za hivi karibuni hadi Bunge linakatiwa matangazo ya moja kwa moja (live coverage) na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na chombo hicho kujiunga na kuripoti matukio ya warsha...
kulikoni chama kipya cha Mzee Jacob Zuma MK Party kinaipiku EFF na kikongwe DA?
nadhani mageuzi ya fikra na sera ni muhimu zaidi ya kulalamika bila alternatives. upinzani lazma kujipanga kwa kwa...
Wanafunzi wengi akiwemo mdogo wangu wa mwisho aliye form 1, Iliboru wamevamiwa na kuporwa vitu vyao wakati wakielekea stend kupanda magari baada ya kufunga shule.
Wengine wamevamiwa walipokuwa...
Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea.
Daladala za kutokea Mbezi mpaka Mnazi Mmoja kupitia Manzese...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.