NUKUU
“Nimepata taarifa kuwa kisiwa chetu cha Mafia kilichopo Tanganyika kinapigwa bei (kinauzwa). Naomba tuendelee kufuatilia na kupiga kelele,”… Dokta Willibrod Slaa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
Kama vile wanaume wanaona mwanamke pisi kali atakua na wengi au wengi wanamtaka, hata wadada kumbe wanayo.
Yani ukikutana na mdada ukisema "niko single" wanakataa wanakwambia " yani we ulivyo...
Habari wakuu, kama title inavojieleza....tunaelekea mwaka mpya wa kiserikali(kibajeti)
Hofu yangu kuu ni kua tamisemi hawajafungua ajira za walimu na watu wa afya hadi mda huu naandika uzi
swali...
Kuishi na mwanaume anayejua mapenzi huwazi sex kila mara ila unawaza mume wako atarudi saa ngapi akupe utramu wa hali ya juu.
Kuna tofauti ya sex tu na haja zikatimizwa kibabe na ule utamu...
Wakuu salama?
Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.