NAOMBA KUJUA KILICHOENDELEAAAA
BAADA YA MH WAZIRI WETU MPENDWA WA ARDHI JERRY SILAA KUSEMA KUNA JAJI ANASAPOTI HAWA WAHUNI KUSHINDA KESI WANAPOIBA ARDHI ZA WATU
JE MPAKA SASA TUME YA MAADILI...
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.
Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.
Niwakumbushe...
Hivi kwanini wanawake siku za ibada hasa jumapili, wanaifanya kama ni siku ya fasheni na kujionyesha kwenye kujipamba na mavazi tofauti na makusudi ya imani.
Kuna wanawake bila nguo mpya anaona...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi...
Salaam shalom!!
Tulipopata Uhuru wa Nchi yetu, hatukuwa na wawekezaji wengi wa kuwekeza kwenye migodi, Serikali ilihodhi vitega Uchumi vyote na kusimamia, Hawa wawekezaji wa sasa, nionavyo Si...
Habari wana jamii forum
Natumai mu wazima
Tafadhali naomba kuuliza mwenye chimbo la mifuko ya 20kg /25kg kama ya azania/azam ambayo inakua rejected lakini mizima ambayo haijatoboka inawezakua...
Wakuu kwema?
Leo ni final ya kwanza kati ya Esperance and Al ahly, kwa wale waliojiunga na kifurushi cha compact cha 64,000/= ni channel ipi wanaonyesha live?
Game ni saa 4:00
Ahsanta
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.