Helloooowww, to everyone here.
Watu wengi hawaamini maisha anayoishi mtu kwa kuwa anaongea kiingereza na anaonekana msomi. Wengine tumeamua kuwa real na ku fake kwetu ni MWIKO. Kama sina nitasema...
Hapa tunaongea kwa wazamiaji, mabaharia na watafutaji wagumu ani sio mtoto wa mama.
Process za kutoka bongo direct to USA 🇺🇸 ni ngumu isitoshe inavigezo pia ni expensive, Sasa chakufanya wew kama...
Habari wakuu natumaini muko vizuri.
Maisha yangu yanaendelea kunishangaza kila siku kuhusu nyakati zangu, Nimekuwa nikiishi kama kijana mdogo wa kawaida lakini kumbe jamii hainioni kuwa ni kijana...
Wakuu, kuna mtu nipo naye hapa, anatafuta pharmacy ya kununua ndani ya jiji la Dar.
Iwe na usajili,
Iwe na mauzo mazuri (250k na kuendelea kwa siku)
Offer yake ipo vizuri tu,
Kama unayo au una...
Katika hali inayoelekea kuwachanganya wamarekani Urusi imetuma manowari zake zaidi ya 8 katika pwani ya marekani nchini Cuba sababu ikitajwq ni maandalizi ya mazoezi ya pamoja.
Hii ni mara ya...
Katika pitapita zangu vijijini kulikuwa na ligi inaendelea katika kijiji kimoja wapo hapa nchini Tanzania.
Niache unafki nimevutiwa sana na uchezaji wa vijana wawili katika ile ligi.
Mmoja ni...
Habari za asubuhi wadau
Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja.
Ni...
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya soka , Suleiman Methew Luwongo Amefariki Dunia.
Taarifa zilizosambazwa kwenye vyombo vya Habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.