Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza...
Hope mko fine
Nilipokuwa kijana nilitamani sana siku nikioa niwe na familia bomba, iliyotulia na isiyo na bugudha.
Nilipooa niliweza ishi maisha ya ndoto zangu takribani miaka miwili. No...
Jina lake ni Josephine Myrtle Corbin. Alizaliwa Marekani 12/05/1868.
Maumbile yake hayakuwa ya kawaida. Alizaliwa akiwa na miguu minne, na pea ya uke na tumbo la uzazi. Madaktari mbalimbali...
Wadau hamjamboni nyote?
Wapo watakaokubali na watakaopinga hoja hii ila ukweli halisi Rais Samia anastahili kabisa kupewa hadhi ya kuwa Profesa wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika...
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe.
Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu.
Niwakumbushe Nyalandu...
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.