Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

DIRISHA LIMEFUNGULIWA, NJOO TUKUSAIDIE KUFANYA APPLICATION ZA MKOPO BODI YA MIKOPO HESLB. Contacts:- 0627799285. Katibu Seneti Mkoa Habari! Dirisha la Kufanya Maombi ya Mikopo Bodi ya Mikopo...
0 Reactions
6 Replies
61 Views
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
7 Reactions
302 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Marekani, rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump amefungua akaunti ya TikTok, ili kuwavutia wapiga kura vijana, na kufanya maandalizi kwa ajili ya uchaguzi...
4 Reactions
12 Replies
525 Views
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo. Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
14 Reactions
250 Replies
4K Views
=== Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania. Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
33 Reactions
196 Replies
4K Views
Iko hivi, utakuka mtu amekosea na anahitaji kurekebisha alipokosea lakini mtu huyo anabagua aina ya watu wa kumwambia ukweli. Hii ipo kuoanzia ngazi za familia, jamii na kitaifa. Kwa mtu binafsi...
2 Reactions
3 Replies
97 Views
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio...
21 Reactions
157 Replies
2K Views
Yaliyojiri kwenye mkutano ulliofanyika leo wa Wanachama Simba SC. 𝗪𝗮𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗴𝗼𝗺𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝘂𝘇𝘂𝗹𝘂 : Wajumbe wote wa bodi upande wa Wanachama wa Simba SC wenye 51% ya hisa kwa kauli moja wamesema kuwa...
5 Reactions
29 Replies
847 Views
Nikiri nimechagua kuibiwa kibwege kabisa. Niliona mtu mmoja anayetangazwa na KIGOGO2014 huko Instagram kuwa anauza bando kwa bei nafuu. Nikamfata inbox kuomba kujua zaidi kuhusu hiyo huduma...
6 Reactions
22 Replies
437 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,491
Posts
49,831,997
Back
Top Bottom