Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu wana-Jamvi Wakati Vugu vugu la Uchaguzi linazidi kupanda kuelekea mwakani 2025, wabunge matumbo joto kila kona na tayari sarakasi zimeanza. Wilaya ya Mufindi imekuwa kwenye dawati kwanza...
0 Reactions
1 Replies
7 Views
Ndugu zetu wazenji bhana 😄😄😄 Taarabu mpaka kwenye mpira wa miguu!. Anyway tuzo zinanikumbusha mahafali yangu ya standard seven.Hongereni
3 Reactions
4 Replies
70 Views
Nimegundua kushindwa kwangu kuhudhuria viwanja vya michezo kumenifanya nikose vingi. Najutia sana
0 Reactions
2 Replies
57 Views
Habari zenu, Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume. Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji...
4 Reactions
29 Replies
284 Views
Yaliyojiri kwenye mkutano ulliofanyika leo wa Wanachama Simba SC. 𝗪𝗮𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗴𝗼𝗺𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝘂𝘇𝘂𝗹𝘂 : Wajumbe wote wa bodi upande wa Wanachama wa Simba SC wenye 51% ya hisa kwa kauli moja wamesema...
2 Reactions
11 Replies
170 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na na chuki binafsi...
2 Reactions
65 Replies
308 Views
Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
3 Reactions
6 Replies
117 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
222K Replies
17M Views
NIELEWE KWA MAKINI SANA. Mungu wa Israel Mungu Allah, Mungu wa wabudha, Miungu ya kale pale misri, Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo...
25 Reactions
236 Replies
5K Views
Wana jf nataka leo tuambizane ukweli kwanini sisi wanaume warefu dark tunawapagawisha sana watoto wa kike, kwa mfano mm wanawake walikuwa wanapigana kwaajili yangu toka olevel,Alevel hadi chuo...
2 Reactions
5 Replies
42 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,444
Posts
49,830,591
Back
Top Bottom