Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Rafiki yangu mpendwa,
Nimekuwa napenda utajiri tangu nikiwa mtoto mdogo.
Nakumbuka niliwahi kumwambia mama yangu kwamba kwenye maisha yangu lazima nitakuwa tajiri. Alicheka na kuniambia ni utoto...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Yule Mwamba wa siasa za Kisasa kwenye eneo la Maziwa Makuu , Freeman Mbowe , ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama kikubwa zaidi na kinachoungwa mkono na...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na na chuki binafsi...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
https://youtu.be/GxN6WSDDIF8?si=6EyFTUpKptlgFoEm
Huko ni Burkina Faso.
Kutokana na fedha alizoziokoa, Capt. Ibrahima amenunua matrekta 5,000 na kuyagawa kwenye vijiji vya Burkina Faso. Ameweka...
Habari wana Jukwaa,
Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.