Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "ChitChat". Ni tumaini langu wote ni wazima. Huu uzi yawezekana ukawa mrefu kuusoma, ila naamini kuna mtu utamsaidia sana endapo atausoma...
7 Reactions
14 Replies
313 Views
Bodi ya mikopo imefungua rasmi dirisha la maombi. Kazi kwenu.
1 Reactions
17 Replies
429 Views
Nina maziwa madogo nisipovaa sidiria yanachongoka kwasababu hayajalala, kwahiyo chuchu zinasimama. Nikivaa hivyo najikuta tu sipo huru. Nikivaa sidiria kifua na mgongo vinauma kwani nailazimisha...
23 Reactions
180 Replies
14K Views
SIGIL YA MAMMON; FUNGUA NJIA YA MAFANIKIO NA UTAJIRI KWA KUTUMIA SIGIL YA MARMON. Najua wengi wetu tunapenda Pesa na mafanikio, Tunapenda kumiliki mali (Material gain) basi katika pita pita...
1 Reactions
22 Replies
544 Views
Kumekuwa na tabia sugu ya viongozi wengi wa Dini kusoma aya zinazohamasisha tu kutoa SADAKA. Lakini pia wamekuwa wakibuni mbinu za kila aina za kuwakamua Waumini wao Makanisani. Mambo ya ovyo...
0 Reactions
5 Replies
54 Views
A
Anonymous (381e)
Ni muda sasa kumekuwepo na hili wimbi la watu wanaojiita kamchape kiboko ya kutoa uchawi katika wilaya ya kasulu. Mwanzoni Serikali kupitia jeshi la polisi walitoa maonyo kuhusu hawa watu lakini...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Hakika tunaoishi kwa matumaini ya kusubiria ajira tunapitia changamoto sana asee, yani mimi ni wakupewa kibarua na mtu aliyeacha shule darasa la 5, hiki hakijaniuma sana kilichoniuma ni maneno...
15 Reactions
44 Replies
669 Views
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio...
21 Reactions
162 Replies
2K Views
Taifa la Tanzania nakupenda nalipenda jeshi lake nawapenda wanausalama na wana Usalama wa Taifa letu teule Tanzania Tanganyika. Neno la Mungu lina sema mavuno yapo tayari mtoto anataka kujifungua...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,494
Posts
49,832,054
Back
Top Bottom