Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Je, unaridhishwa na hatua zinazochukuliwa na Mamlaka katika kushughulikia Matukio na Taarifa za Rushwa na Ubadhirifu nchini?
Unaweza kutoa maoni yako na kupendekeza njia Bora za kupambana na...
Serikali ya Tanzania inatarajia kusaini Makubaliano ya Mkopo wa Riba Nafuu wa takriban Tsh. Trilioni 6.51 kutoka Serikali ya Korea Kusini kupitia ziara itakayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan...
Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mtu Kazi) asubuhi hii ya leo Alhamisi Mei 30, 2024 atakuwa na Mkutano na Vyombo vya Habari...
Wanafunzi wengi akiwemo mdogo wangu wa mwisho aliye form 1, Iliboru wamevamiwa na kuporwa vitu vyao wakati wakielekea stend kupanda magari baada ya kufunga shule.
Wengine wamevamiwa walipokuwa...
Rais Ruto: Ndege yangu ya kwenda Marekani iligharimu chini ya Ksh.10 milioni. Hakuna njia ninaweza kutumia Ksh.200 milioni. Mimi ni msimamizi mwaminifu. Mimi si mwendawazimu. Lazima niwe kiongozi...
Niliwahi kuwa na binti mmoja mrembo kwelikweli toka visiwani kizimkazi.
Siku ya kwanza nikakuta kikombe kaingia nacho chooni anapiga mswaki.
Sijakaa sawa kachukua ndoo ya chooni kakingia maji...
Hizo Pilika pilika, shamra shamra , shangwe , kishindo na Mtikisiko uliousikia Nchi nzima unahusu kanda 4 tu
Ifahamike kwamba bado kuna kanda 6 hazijafanya uchaguzi, sasa bado hatujui nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.