Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

NIELEWE KWA MAKINI SANA. Mungu wa Israel Mungu Allah, Mungu wa wabudha, Miungu ya kale pale misri, Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo...
25 Reactions
232 Replies
5K Views
Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana...
13 Reactions
108 Replies
1K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
222K Replies
17M Views
Kama vile wanaume wanaona mwanamke pisi kali atakua na wengi au wengi wanamtaka, hata wadada kumbe wanayo. Yani ukikutana na mdada ukisema "niko single" wanakataa wanakwambia " yani we ulivyo...
5 Reactions
47 Replies
339 Views
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
33 Reactions
246 Replies
2K Views
Hupaswi kusubiria hadi ajue kuongea ndipo uanze kumfundisha. Unaweza kuanza kumfundisha tokea akiwa na umri wa siku moja. Miongoni mwa mambo ya kumzoesha mapema ni pamoja na: 1. Kunawa mikono...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wanawake ni viumbe vya hisia. 90% ya matendo yao yanaendeshwa na hisia zao. Ndio maana watachukua hatua kila wakati kabla ya kufikiri na baada ya kusababisha uharibifu mwingi, watakuja kuomba...
9 Reactions
42 Replies
257 Views
Habari za asubuhi wadau Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja. Ni...
6 Reactions
209 Replies
2K Views
Nikiri nimechagua kuibiwa kibwege kabisa.Niliona Mtu mmoja anayetangazwa na KIGOGO2014 huko insta kuwa anauza bando kwa bei nafuu.Nikamfata inbox kuomba kujua zaidi kuhusu hiyo huduma.Akanieleza...
2 Reactions
10 Replies
84 Views
kuna series nyingi zinazo toka ila hii series inatisha ila ina ujumbe .
0 Reactions
4 Replies
92 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,440
Posts
49,830,425
Back
Top Bottom