Kwa heshma na taadhima napenda kuwajulisha umma wa Watanzania. Kuwa tusiwe na haraka wala hofu 2030 Bumbuli tunakwenda kutoa kiongozi kijana Africa na duniani. Stay tuned!
Hivi ukimaliza form six ukapangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni je nikiomba mkopo HESLB nitapata? Naomba mwenye kufahamu hili anijuze. Natanguliza shukrani
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Twaha Mpembenwe amesema kuwa Uchambuzi wa Kamati ya Bunge ya Bajeti umebaini kwamba watumishi wengi wa Serikali wanalipwa mishahara midogo...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Kuna mwana, alizifuma text za mke wake zilizo onesha dhahiri shahiri ametoka kukiwa dodo siku za karibuni nyumba ya wageni, mwana kaomba kila mtu ushauri wengi walimpa ushauri kuwa asamehe walee...
Jinsi Hetty Green Alivyokuwa 'Mwanamke Tajiri Zaidi Nchini Amerika' Wakati wa Enzi ya miaka ya dhababu "GILDED AGE"
Akiitwa "Mchawi wa Wall Street," Hetty Green alikuwa mmoja wa watu tajiri zaidi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kama ulikuwa huelewi hili jambo basi lichukue uliweke kichwani mwako. Taarifa hii imewekwa na Absalom Kibanda anayedai amenong'onezwa na Mwalimu wake, mkongwe Kajubi Mukajanga .
Japo mimi naona...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.