Nguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi.
Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu.
Noa Argamani, ambaye utekaji...
Ndugu wana-Jamvi Wakati Vuguvugu la Uchaguzi linazidi kupanda kuelekea mwakani 2025, wabunge matumbo joto kila kona na tayari sarakasi zimeanza. Wilaya ya Mufindi imekuwa kwenye dawati kwanza...
Kumekuwa na tabia sugu ya viongozi wengi wa Dini kusoma aya zinazohamasisha tu kutoa SADAKA. Lakini pia wamekuwa wakibuni mbinu za kila aina za kuwakamua Waumini wao Makanisani.
Mambo ya ovyo...
Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "ChitChat".
Ni tumaini langu wote ni wazima.
Huu uzi yawezekana ukawa mrefu kuusoma, ila naamini kuna mtu utamsaidia sana endapo atausoma...
Salute iende kwenye mada, kiukweli hapa mjini Dar es salam kuna watu nadhani wanaishi maisha mazuri ni kama wako Dubai au New York .Binafsi nimekuwa chawa promax wakumfatilia huyu kijana anaejiita...
Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza...
Yaliyojiri kwenye mkutano ulliofanyika leo wa Wanachama Simba SC.
𝗪𝗮𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗴𝗼𝗺𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝘂𝘇𝘂𝗹𝘂 :
Wajumbe wote wa bodi upande wa Wanachama wa Simba SC wenye 51% ya hisa kwa kauli moja wamesema kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.