Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na...
Habari Wana jamvi,
Moja kwa moja kwenye mada.
Kiukweli kila mtu ana Imani yake na linapokuja suala la matatizo kila mtu huamini kile anachoona kinaweza kumsaidia wapo wanaokimbilia kwa waganga...
Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na...
Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel.
Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
Nisiwachoshe sana na salamu niende Moja Kwa moja kwenye mada
Iko wazi kwamba no free lunch or dinner kama hutaki kuamini ngoja siku uje kusukumwa tope๐คฃ
Siku hizi vijana wanaamini kwenye kamari na...
kwa siku za hivi karibuni hadi Bunge linakatiwa matangazo ya moja kwa moja (live coverage) na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na chombo hicho kujiunga na kuripoti matukio ya warsha...
Kwa documenta zilizofichuka wiki hii imegundulika kuwa kumbe Biggie alikuwa ana plan aachane na Bad Boy Records.
Pia kwa taarifa za watu wa karibu ni kuwa Pac nae alikuwa anataka atoe album ya...
Samahani ndugu zangu, mwenye uelewa kuhusiana na foundation course naomba ufafanuzi, na pia ni vyuo vipi vinavyo toa hiyo course kwa Masomo ya Mathematics na chemistry (Education)
Moja kwa moja kwenye madaโฆ
Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe..
Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.