Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wana Jukwaa, Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa...
8 Reactions
39 Replies
1K Views
Hapa nazungumzia wafanya biashara sio wale wezi wa pesa za wananchi, changamoto inakuja kutafuta mtaji labda umepata milion 5-10, either umekopa au umepewa, changamoto ya kwanza ni kutafuta frame...
58 Reactions
158 Replies
5K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo tarehe 08/06/2024 kinafanya Mkutano wake wa hadhara Singida Mjini, ambako Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu atahutubia wananchi. Kama ilivyo...
8 Reactions
40 Replies
1K Views
Live kutoka viwanja vya stendi ya zamani Singida mjini, kipenzi cha watu na rais wa wananchi Tundu Antipas Lisu amefunguka na kusema alimtimua Abdul alipompelekea rushwa na kumwambia "shenzi...
31 Reactions
131 Replies
3K Views
Mimi kwakweli ile album ya wenge musica bcbg yenye nyimbo kama masuwa, bana lunda, ndombolo n.k ilinikuta katika mapito magumu. Leo hii nikisikia nyimbo yoyote ya kwenye ile album nakumbuka...
4 Reactions
76 Replies
464 Views
Nimefuatilia kwa ukaribu mahojiano ya mwenyekiti mpya wa bodi ya club ya simba bw. Salum Abdallah katika kipindi cha sports HQ kinachorushwa na kituo cha redio cha E-fm, nimegundua kuna ukanjanja...
15 Reactions
39 Replies
3K Views
NUKUU “Nimepata taarifa kuwa kisiwa chetu cha Mafia kilichopo Tanganyika kinapigwa bei (kinauzwa). Naomba tuendelee kufuatilia na kupiga kelele,”… Dokta Willibrod Slaa...
12 Reactions
122 Replies
2K Views
Yaliyojiri kwenye mkutano ulliofanyika leo wa Wanachama Simba SC. 𝗪𝗮𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗴𝗼𝗺𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝘂𝘇𝘂𝗹𝘂 : Wajumbe wote wa bodi upande wa Wanachama wa Simba SC wenye 51% ya hisa kwa kauli moja wamesema...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Huu utafiti nimeufanya mara kadhaa Sasa nimejiridhisha kuwa mwanaume Huwa anabalehe Kwa mara ya pili akifika umri wa miaka 40 Katika umri huu mwanaume anakuwa kama teenager wa miaka 16 Utashangaa...
3 Reactions
13 Replies
167 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,436
Posts
49,830,227
Back
Top Bottom