Kwa kawaida huunganisha thread zinazofanana au kuelekea kufanana,lakini Leo Kuna thread Tano zinazongumzia Israel kuokoa mateka,na mmeziacha zote,he,tufahamu kwamba mko bias,kiswahili...
Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana...
Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus...
Shirikisho la soka duniani FIFA limetumia rangi za rainbow 🌈 kwenye profile yake hii ina maana gani kwa s mashabiki wa football wasi unga mkono hayo mambo pia kwa vyama wanachama wausio unga mkono...
Kama vile wanaume wanaona mwanamke pisi kali atakua na wengi au wengi wanamtaka, hata wadada kumbe wanayo.
Yani ukikutana na mdada ukisema "niko single" wanakataa wanakwambia " yani we ulivyo...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na na chuki binafsi...
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
Jamani nashindwa Ku mblock x wangu moja kwa moja kila ni ki mblock nakaa siku chache na mu unblock tuna mtoto mmoja.
Napenda nimkomeshe status kwa kumpost mpenzi wangu mpya na vijembe tu natakaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.