Wanawake wengi wakimaliza ujana, wataanza kuomba wapate mume, wakipata, watatupilia mbali mara moja ahadi zote walizotoa kwa Mungu baada ya kupata mtu asiye na hatia.
Wanawake wengi wanaokula...
Aliyewahi kuwa CEO wa Simba Sports Club ameandika kupitia ukarasa wake wa X kuwa watu wanalipwa kuchafua wengine na kuwasifia wanaowalipa, Wapambe na Machawa wanaendesha Siasa Za Tanzania.
Je, ni...
Rafiki yangu mpendwa,
Nimekuwa napenda utajiri tangu nikiwa mtoto mdogo.
Nakumbuka niliwahi kumwambia mama yangu kwamba kwenye maisha yangu lazima nitakuwa tajiri. Alicheka na kuniambia ni...
Waafrika wanasoma vitabu, lakini Wazungu wana wasomaji wengi zaidi kuzidi Waafrika.
Kwa Wazungu, usomaji wa vitabu ni kama sehemu ya maisha ya wengi wao.
Unajua ni kwa nini? Naamini ni kwa...
Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya...
Mkubwa Dawa, hii ndio lugha ambayo vijana wa mitaa wanaitumia, hasa pale mtu mzima anapofanya jambo la kufurahisha ama kushangaza.
Mkongwe Juma Kapuya ametangaza kurejea Bungeni 2025 kwa kugombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.