Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
Salaam shalom!!
Tulipopata Uhuru wa Nchi yetu, hatukuwa na wawekezaji wengi wa kuwekeza kwenye migodi, Serikali ilihodhi vitega Uchumi vyote na kusimamia, Hawa wawekezaji wa sasa, nionavyo Si...
Erik Prince, afisa wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Marekani na mwanzilishi wa kampuni ya binafsi ya kijeshi ya 'Blackwater', hivi karibuni alitoa maoni yake kwamba nchi za Kiafrika zinapaswa...
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa...
Habari waungwana naamini kuna wengi sana walio nitangulia naamini nitapata mawazo chanya, kwa sasa nipo DSM ila nataka nitume maombi ya kujitolea kwnye viwanda vilivyopo Mbeya, Iringa, Njombe, na...
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.
Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuwaombea wanaofanya ubadhirifu na wezi ili roho hizo za kuhujumu nchi ziwatoke...
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi.
Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini...
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako
1. IPHONE -watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.