Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Muda si mrefu tutawapa na serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila alhamisi mpaka jpili Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria...
0 Reactions
17 Replies
409 Views
=== Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania. Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
26 Reactions
176 Replies
3K Views
Mnaosikliza redio vipi wale vijana B 12 na Adam Mchomvu wamefit pale kwenye kipind cha jahazi au wameleta ujana wao wa XXL?
0 Reactions
14 Replies
661 Views
Ndiye huyu sasa!Ukifika Tabora karibu sana Urambo.
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Kuna sehemu moja huko monduli nilifika umasaini yaani Kama hujakaza roho unaweza tafuta usafiri usiku kwa usiku, Waweza jiona upo nyuma ya dunia maana Kila kitu ni shida, kuanzia...
1 Reactions
13 Replies
229 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeona niseme haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije kuanza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo...
14 Reactions
165 Replies
3K Views
Tatizo ni kwamba wasomali hawapendi kuwekwa kundi moja na waafika licha ya kuwa ni waafrika, wao hujiona waarabu lakini wanawaona ni waafrika, kiufupi wao hawana strong bond na waafrika wengine...
8 Reactions
72 Replies
2K Views
Swali ambalo huwa najiuliza, hivi ufanye huu ukatili wote halafu hatimaye uje kugundua huyo "mungu" unayemuadu kumbe siye. Njemba nne zilizoshiba zinamchangia mwanamke mmoja na kumcharaza kisa...
3 Reactions
11 Replies
168 Views
Mwanza. Ni jambo ambalo halikutarajiwa na wengi na isivyo bahati, uwe mgeni ama mwenyeji hapa mjini Mwanza ukipita pembezoni mwa mazingira ya shule za msingi Kitangiri A na C zilizopo pembezoni...
3 Reactions
9 Replies
349 Views
Kwema wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimekuwa nikitafakari sana juu ya hatima ya maisha yangu na hasa ukizingatia hali ya sasa kwa hapa Tanzania ni mbaya, kwani watu wanaishi maisha...
11 Reactions
87 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,180
Posts
49,822,185
Back
Top Bottom