Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.
Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
Chunguza then come with ur own opinion. Mimi nimegundua wanawake wenye sura zinazo fanana na za wanaume wanakuwa na akili zaidi darasani ukilinganisha na wale warembo ambao wanaamini kuwa uzuri...
Biblia inasema muonye mtu muovu, la sivyo damu yake nitaitaka mikononi mwako. Ninyi wahubiri, manabii na mitume wa kisasa mnajua kweli nguvu ya jina la Yesu? Hi
li siyo jina la kutamka hovyohovyo...
Wiki hii nimekua nafatilia sana pages za madalali wa magari, Kuna gari ya ofisi nataka kununua kutokana na bajeti nimeamua nianze na used kwanza, sasa hao madalali yaani ni vichekesho tu
"Gari ya...
"Tatizo kubwa la Simba ni kuajiri watu wasio na weledi. Kama Simba SC wanataka kufanikiwa wanapaswa kuachana na watu wasio na weledi"
"Simba kwa sasa inahitaji 'PROFESSIONAL PEOPLE' watu wenye...
Muda si mrefu tutawapa na Serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila Alhamisi mpaka Jumapili
Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria...
Habari za asubuhi wadau
Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja.
Ni...
Nimeshangaa kusikia Magoti ndiye alikuwa anamshauri Rais kuhusu siasa. Nikimuangalia ni kama ana umri wa miaka thelasini hivi, yaani mtoto tu, na ndio maana mwanzo nilidhani ni mhudumu au afisa wa...
Duniani tumo binadamu wa aina tatu kiakili na wote tunaishi pamoja in harmony na tumegawanyika katika makundi makuu matatu kiutendaji na utekelezaji wa akili zetu.
Kundi la kwanza ni wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.