Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

KWAKO NDUGU YANHU MATE NAMSHUKURU MUNGU KWA ALIEKUCHAGUA ANAJUA MAKUSUDI YAKE HAKIKA WANANCHI WAMEUMIA WANATESEKA SANA NA WAHUNI WAPIGA DILI VIWANJA VYA WATU .HAWA WAHUNI WANA CHANNEL NDEFU SANA...
0 Reactions
1 Replies
4 Views
Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🤝🤝 - Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka...
13 Reactions
140 Replies
4K Views
Jamani nashindwa Ku mblock x wangu moja kwa moja kila ni ki mblock nakaa siku chache na mu unblock tuna mtoto mmoja,napenda nimkomeshe status kwa kumpost mpenzi wangu mpya na vijembe tu natakaga a...
5 Reactions
43 Replies
357 Views
Nimeamua kwa dhati kabisa kumshonea mke wangu sketi za shule kama aina tano ili niepukane kabisa na vishawishi vya kutamani wanafunzi Nadhani wote tunafahamu jinsi watoto wakike wanavyopendeza...
2 Reactions
5 Replies
25 Views
Mimi kwakweli ile album ya wenge musica bcbg yenye nyimbo kama masuwa, bana lunda, ndombolo n.k ilinikuta katika mapito magumu. Leo hii nikisikia nyimbo yoyote ya kwenye ile album nakumbuka...
3 Reactions
39 Replies
188 Views
Habari zenu wapambanaji Leo niko mbele yenu kutaka ushauri wa kimawazo kutoka kwenu ndugu zangu. Niko kwenye mpango wa kuingia kwenye kilimo kwa kumanisha hasa. Nina bajeti ya kiasi cha Tsh. 5M...
1 Reactions
20 Replies
155 Views
Raisi Xi wa China alitoa vitisho kuhusiana na ziara ya bi Perosi nchini Taiwan. Wote tulisikia. Pamoja na vitisho vyote, Marekani wakapuuza, bi mkubwa akaingia Taiwan. Wote tuliona, mchana kweupe...
10 Reactions
49 Replies
861 Views
Mateka 4 waliotekwa na Hamas mwaka jana wameokolewa Leo na Jeshi la Israel Source BBC
3 Reactions
28 Replies
521 Views
Mtu na mkewe wameamua kujiexpose kwenye social network.Ulimbukeni bado unatesa watu
3 Reactions
21 Replies
254 Views
Nguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi. Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu. Noa Argamani, ambaye utekaji...
9 Reactions
60 Replies
856 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,359
Posts
49,827,485
Back
Top Bottom