Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mtu na mkewe wameamua kujiexpose kwenye social network.Ulimbukeni bado unatesa watu
3 Reactions
6 Replies
8 Views
Habari za wakati huu ndugu zanguni. Nimekaa mahali maeneo ya magomeni karibu na bara bara kuu nikasikia hilo tangazo, wakitangaza kupitia gari ndogo maarufu kama "KIRIKUU" Kwa mujibu wa...
7 Reactions
72 Replies
1K Views
=== David Kafulila, Mkurugenzi PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya, Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia...
14 Reactions
106 Replies
833 Views
Salaam, Shalom!! Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi, Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa...
7 Reactions
26 Replies
335 Views
Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar. Sidhani kama kuna mtaa Dar...
70 Reactions
6K Replies
424K Views
Jamani nashindwa Ku mblock x wangu moja kwa moja kila ni ki mblock nakaa siku chache na mu unblock tuna mtoto mmoja,napenda nimkomeshe status kwa kumpost mpenzi wangu mpya na vijembe tu natakaga a...
5 Reactions
33 Replies
297 Views
Wakuu kwema. Hivi karibuni nilikuja humu kuomba msaada wa jinsi ya kutibu hizi fangasi baada ya kushindikana hospital Nimekuwa nikipewa dawa ileile kwa kila daktari nayemtembelea, nimeenda hadi...
7 Reactions
61 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wadau Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja. Ni...
5 Reactions
139 Replies
926 Views
1-Kama Mwanamke ana tattoo tumia condom. 2-Kama mwanamke ni mlevi anapenda sana bia .....tumia condom. 3-Kama Mwanamke akiwa na wewe ana zima sim .....tumia condom. 4- Kama Mwanamke yeye ndio...
0 Reactions
8 Replies
58 Views
Kama kichwa cha uzi kinavosema. Usasa na utandawazi umewafanya watu kua open sana. Usikute huyo mchumba wako akiwa serious kuolewa na wewe anawaaga ma boyfriends wake kiroho safi na kuwaelezea...
3 Reactions
13 Replies
183 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,355
Posts
49,827,270
Back
Top Bottom