Wakuu habari?
Mchepuko wangu alinipa wazo moja la biashara, na katika kulitathmini likanishawishi na kunipa matumaini, kwa sababu kama nitalitekeleza kwa ufasaha, linaweza kutengeneza matawi hapa...
Salaam Wakuu,
Ikiwa Ligi Kuu ya NBC imeisha leo 28/05/2024 huku Yanga akiwa Bingwa Azam nafasi ya pili na Simba nafasi ya tatu. Imetoka taarifa kuwa Simba Sports Club na Yanga SC zitacheza...
"Kombe la shirikisho ni kombe la loser, hata kama jana Yanga ingeshinda hata siyo Ishu. Siyo Champions League ile."
Simba wote tumefurahi sana Yanga kupigwa. Tuna sababu za msingi kufurahi. Video...
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwapeni taarifa ya kuwa kuanzia Kesho Katibu Mkuu wa CCM Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi ataanza na kufanya ziara nzito sana katika mikoa mitano ya kanda ya...
Kufuatia kuwepo kwa tukio la mtoto wakiume (3) kulawitiwa Jijini Arusha, mama mzazi wa mtendewa amedai kuwa kutokana na hali ya mtoto kuwa mbaya ameanza kumfunga mtoto huyo mikono kwa kutumia...
Kwanza kabisa ifahamike hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama wanywaji wa pombe,Hawapati ndoto za ajabu au hallucinations au sleep paraylis. Tatizo kubwa la mitungi huwa kikiumana kesho yake...
Aliewahi kutumia Samsung a15 au anaeijua utendaji kazi wake anipe muongozo nataka niinunue, masuala ya camera siangalii sana Mimi naangalia speed na isiwe inaganda au kupata moto
Simu inaonekana...
Nimekaa mitaa mingi maeneo ya kipato cha kati na cha juu hata kufikia kupata kwangu. Changamoto nyingi niliyokumbana nayo ni wakati unatafuta sehemu ukakae peke yako ukatafakari hili na lile...
Mkuu wa Mkoa mwenye vituko zaidi na mtafuta Kiki zaidi Tangu kuundwa kwa Cheo hicho Nchini Tanzania na Wakoloni, Bwana Paulo Makonda(zamani Daudi Bashite), amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.