Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari za muda huu.., nakuja mojaKwamoja kwenye mada kuna gari ya Home ni ya mshua aina ya noah nataka nianze kupiga ruti za kutafuta hela ila sijui paKuanzia. Nipeni ruti za kupiga hela au kama...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Songesha na mikopo mingine ya simu imepelekea watumishi kunyimwa mikopo wanapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk, risk na...
27 Reactions
223 Replies
8K Views
Makampuni yanatumia vitu vidogo sana kutupiga hela, ukichukua simu ya 4g na 5g kwa internet ya tz download vitu kwa pamoja kwa mtandao mmoja utaona hazipishani Utakuta mtu simu kuwa na 5g anauza...
4 Reactions
42 Replies
454 Views
Kwa wanaoumia mioyo yao kuona Makonda anaupiga mwingi, sageni chupa kunyweni. Makonda ni mtendaji. Siasa za uongo, unafiki kwake hizo hakuna. Siasa za kuabudu aliyemtua hakuna. Anajua JD yake...
1 Reactions
5 Replies
33 Views
Natamani some days itokee timu nyingine pale nafasi ya 1 na ya 2 isiwepo SSC wala Yanga, tukifika hiyo hatua ni wazi kuwa ligi yetu itakuwa ni bora. Timu kama Li SSC , sajili za mchongo, scouting...
1 Reactions
7 Replies
201 Views
Kufuatia kuwepo kwa tukio la mtoto wakiume (3) kulawitiwa Jijini Arusha, mama mzazi wa mtendewa amedai kuwa kutokana na hali ya mtoto kuwa mbaya ameanza kumfunga mtoto huyo mikono kwa kutumia...
0 Reactions
23 Replies
242 Views
Tayari Vijana wa Bavicha kutoka Makao makuu wameshaelekea mkoani Singida kwa maandalizi ya mkutano huo wa kihistoria Ikumbukwe Iramba ndio Nyumbani kwa Mawaziri Wawili nyeti sana nchini tena...
6 Reactions
20 Replies
370 Views
Mtoto wangu Ana miezi Saba juzi mama ake amenambia hajawahi kumuona alisimamisha uume Ilinichanganya Sana akili ilibidi nijipe mda nkakaa nae Kama masaa mawili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku...
11 Reactions
63 Replies
542 Views
Peace, Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho...
22 Reactions
54 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,858,034
Posts
49,736,230
Back
Top Bottom