Peace,
Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho...
Mkuu wa Mkoa mwenye vituko zaidi na mtafuta Kiki zaidi Tangu kuundwa kwa Cheo hicho Nchini Tanzania na Wakoloni, Bwana Paulo Makonda(zamani Daudi Bashite), amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela...
Nyota wa Filamu za Fast & Furious, Vin Diesel amefunguliwa mashtaka ya Unyanyasaji wa Kijinsia dhidi ya Asta Jonasson, Mwanamke aliyewahi kuwa Msaidizi wake mwaka 2010.
Mwanamke huyo amedai...
Rasmi, Simba imeangukia Kombe la Shirikisho barani Africa ambalo wenzao Yanga walifika Fainali na kuukosa ubingwa kwa kanuni!
Sasa ni kipimo kwa Simba kutuonyesha namna kombe ilo lilivyo jepesi...
Wakuu habari?
Mchepuko wangu alinipa wazo moja la biashara, na katika kulitathmini likanishawishi na kunipa matumaini, kwa sababu kama nitalitekeleza kwa ufasaha, linaweza kutengeneza matawi hapa...
Asalaam,
Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani.
Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kwa mujibu wa nguli wa muziki wa dansi nchini, marehemu Remy Ongalla, muziki ni burudani, furaha, huzuni, nk. Hapa anamaanisha kuwa muziki ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.