Naona kila kona sasa hivi ni juu ya mafyongo ya teuzi.
Nakumbuka enzi za hayati Julius (Mwl) mtu alikuwa akipata taarifa za teuzi zake kupitia RTD na unakuta mtu yupo baa, nyumbani au kilabu cha...
Ugumu wa maisha unaoambatana na ukosekanaji wa ajira kwa mabinti, kukosa mawazo sanifu ya kibiashara pamoja na mitaji, na ugumu wa maisha unaoambatana na kupanda kwa bei za kimaisha ni miongoni...
Dar es Salaam, 07 Juni, 2024:
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inapenda kuwafahamisha Walipakodi na wananchi kwa ujumla kuwa, ofisi za TRA nchi nzima zitakuwa wazi kuwahudumia walipakodi siku ya...
Leo asubuhi Mwenyekiti wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu?. Unawaorodhesha kwa sababu gani?. Yeye kanijibu...
Habari za muda huu,
Nisikuchoshe sana, huu uzi ni kwa ajili ya wapambanaji wote.. michongo hii inapatikana zanzibar (Unguja).
HIRING A RECEPTIONIST AT ZURI ZANZIBAR 🛎️
We are seeking a...
Moto unawaka SSC! Ni vita kubwa!
Klabu ya Simba ipo katika kipindi kigumu cha vita inayozidi kukomaa kila uchwao baina ya Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba Salim Abdallah Muhene Try...
Hellow
Ipo hivi hii hali ninayo toka nikiwa mdogo lakini haikuwa inajionyesha sana kama ilivyo kwa sasa hivi naweza nikawa nimekaa hivi nikapandwa na hasira gafla na kilichonifanya nipandwe na...
Karibu JSL COURIER kwa huduma bora ya kuhama na kuhamisha vitu kutoka mtaa A kwenda mtaa B na kutoka mkoa A kwenda mkoa B.
Huduma zetu ni nzuri, nafuu na uaminifu ni mkubwa mno.
Usisumbuke tena...
Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao.
Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule?
Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.