Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amempa siku 10 Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuwasilisha uthibitisho kwamba Waziri wa Kilimo, Hussen Bashe amelidanganya Bunge. Dk Tulia ametoa maelekezo hayo...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo. Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
9 Reactions
155 Replies
1K Views
Kwanza kabisa Tundu Lisu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na...
1 Reactions
14 Replies
290 Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Huko Singida Mjini kumepangwa kufanyika Mkutano wa Hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu 8/6/2024, kwenye viwanja vya Stendi ya Zamani...
9 Reactions
55 Replies
2K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
222K Replies
17M Views
Ni dhahiri siasa safi za maendeleo zinazofanyika Tanzania, zimechochea na kuimarisha mazingira bora zaidi ya kufanya biasha, na kusababisha hivi sasa, karibu kila eneo mijini na vijijini kuna...
-1 Reactions
21 Replies
109 Views
Pesa x wamekuwa wanabambikia watu madeni hovyo hovyo huku wakitishia kuwatangaza waliotishiwa mitandaoni waziri wa fedha aziangalie hizi kampuni ni sumu kwenye uchumi wa nchi
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Wasalaam? Ungana na kichwa Cha habari hapo juu,Mimi ni kijana form6 leaver(PCM )nilikua naomba ushauri kwa course ambazo ni nzuri kwa kusomea na rahisi pia katika kujiajiri ukizingatia suala la...
2 Reactions
12 Replies
299 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,237
Posts
49,823,721
Back
Top Bottom