Duniani tunapita hakuna kitakachobakia siku zote watu wema hawana maisha ukiamua kujitolea ujue maisha yako ni mafupi.
Wengi wanaachia mbuzi kula kwa urefu wa kamba kwa kuogopa kufupisha maisha...
Habarini Wanajamvi,
Leo, tunashuhudia tukio la muhimu la Kongamano La Kwanza La Kitaifa kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, likiendelea hivi sasa. Ni fursa adhimu kwa kila...
Wadau site za porn zimefunguliwa tena baada ya muda mrefu kufungiwa. Hii ni move ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu au tatizo ni nini.
Kimaadili naonaa lilikuwa jambo zuri kuzifungua, najua watu...
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.
Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
Habari za asubuhi wadau
Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja.
Ni...
Muda si mrefu tutawapa na Serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila Alhamisi mpaka Jumapili
Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria...
Wakati timu nyingine za ligi kuu zikiwa bize na usajili kuelekea msimu ujao,huko ukoloni kwa sasa hivi ni piga nikupige. Acha inyeshe tujue panapovuja.
Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye:
a) Uchumi
b)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.