Mji wa Same ni mdogo sana ila inashangaza ndani ya wiki tatu zilizopita zimeibiwa TV nyingi sana, je, zinakwenda wapi? Au zinauzwa wapi?
Maeneo ya Sterling na Stesheni kwa mfano zimeibiwa TV nne...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Wafuatiliaji wa siasa za Nchi hii mtakubaliani nami kuwa Mheshimiwa David Kafulila pamoja na Mheshimiwa Zitto Kabwe ndio watu Pekee waliokuwa wanaubeba Upinzani hasa...
Kuna fununu sana Arusha kwamba mtoto pendwa ndio anaichukua Hoteli ya Mount meru , na ikumbukwe pia kuna fununu za kuinunua Impala Hoteli ilio kuwa ya Bilionare Mrema. Sasa ni Mount Meru Hoteli...
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa...
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🤝🤝
- Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka...
Hapa nimenunua tu muda wa maongezi wananitumia had email
EQUIT wako vizuri aisee…..Hizi benki zetu zinazidiwa na kabank ka kenya…nchi nusu jangwa kama sahala inawazidi TANZIA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.