Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kampuni HOPE HOLDINGS ambayo inaendesha biashara mbalimbali katika Jiji la Dar es salaam kama vile Mgahawa wa Papparoti, Super Market maarufu ya kuuza mazulia iitwayo Amal Carperts Mlimani City na...
3 Reactions
15 Replies
216 Views
Nadhani kama nchi, lazima tulishafanya study ya saikolojia na tabia za kabila, wilaya, mkoa wa nchi yetu. Hii inasaidia kiongozi akifika huko, anajua jinsi ya ku-deal na watu wa upande aliopo...
8 Reactions
38 Replies
541 Views
Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga amesema kabla ya kifo cha aliyekuwa mfanyakazi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), Milton Lupa kimetokea akiwa njiani kuripoti...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
222K Replies
17M Views
Greetings fam. As a Tanzanian, can one seek for asylum for being an atheist/deist?
2 Reactions
17 Replies
143 Views
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2012, Nilikuwa nikifanya field katika Kampuni flani ya Ujenzi,, Nikajenga urafiki na mtoto wa moja ya Wakurugenzi wa Kampuni (G), alikuwa akisoma Marekani.alikuja Dar kama...
2 Reactions
7 Replies
44 Views
Habarini Wanajamvi, Leo, tunashuhudia tukio la muhimu la Kongamano La Kwanza La Kitaifa kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, likiendelea hivi sasa. Ni fursa adhimu kwa kila...
0 Reactions
7 Replies
29 Views
Nyoka ndio mmliki mkubwa wa madini na tiba duniani.watu wengi watajiuliza kwa nini ni mmliki wa madini na tiba. BIBLIA Yesu alisema hivi: “Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari za asubuhi wadau Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja. Ni...
2 Reactions
58 Replies
176 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
230 Reactions
402K Replies
33M Views

FORUM STATS

Threads
1,861,242
Posts
49,823,830
Back
Top Bottom