Habari za jioni ndugu zangu, NATUMAINI MUWAZIMA WA AFYA.
Msaada kidogo. Naombeni mwenye video ya Nako 2 nako HAWATUWEZI ft Enika.
YouTube kwa sasa haipatikani,Mwenye nayo labda anayo hata kwa...
Mkubwa Dawa, hii ndio lugha ambayo vijana wa mitaa wanaitumia, hasa pale mtu mzima anapofanya jambo la kufurahisha ama kushangaza.
Mkongwe Juma Kapuya ametangaza kurejea Bungeni 2025 kwa kugombea...
Jamani nashindwa Ku mblock x wangu moja kwa moja kila ni ki mblock nakaa siku chache na mu unblock tuna mtoto mmoja.
Napenda nimkomeshe status kwa kumpost mpenzi wangu mpya na vijembe tu natakaga...
Habari zenu wanajamvi?
Watu wengi hasa wafuatiliaji wa mambo yanayoendelea nchini kwenye uga wa siasa wameshtushwa kwa ukubwa sana juu ya uwezo wa Lissu kufanya mikutano bila nguvu ya ufadhili wa...
Salaam, Shalom!!
Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi,
Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa...
Umeil Kheir, mwanamama mtangazaji wa Radio DW Swahili ya Bon Ujerumani amestaafu Leo. Ameitumikia radio hii tangu mwaka 1988 akiwa binti kabisa. Atakumbukwa Kwa sauti yake ya aina yake.
Mwanamama...
Leo nataka niwape stori ya kweli najua kila mmoja wetu anamambo yake kutokea huko nyuma katika maisha yake watayatoa kwa wakati wao ila mimi nimona muda huu unanifaa kushare haka kastori kafupi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.