===
David Kafulila, Mkurugenzi PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya,
Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia...
Kuna vijana wengi wamejiajiri kwenye kazi ya ufundi simu Ila Kati ya 20 waweza pata mmoja tu ndo anaelewa kidogo kuhusu simu walio Baki ni kuchoma maiki tu na kubadili vioo kwani hata kubadili...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nadhani kila mtu anaona kwa sasa tanzania kwamba kuna siasa safi na hii ndo inawavutia wawekezaji kila kona ya ncho tofauti na kipindi cha jpm ambapo siasa ilikuwa ni vita.
Hongera mama kuituliza...
Kuongezeka kwa matukio ya ukatili dhidi ya watoto nchini Tanzania ni tatizo changamano lenye sababu mbalimbali, zikiwemo:
Sababu za Kijamii:
* Mtazamo potofu wa kijinsia: Baadhi ya jamii...
Wadau hamjamboni nyote?
Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi.
Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu...
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.
Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango...
Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza, ndugu Lucas Mwashambwa, Sio bure kazi unazozifanya za kukichafua Chama Cha Demokrasia na Maendeleo zinaonyesha kabisa wewe ni mtu ambaye umetumwa na...
Wananchi wa Jimbo la Sengerema kata ya KISHINDA Kijiji cha TUNYENYE wamekaidi agizo la Mheshimiwa Mbunge wao Ndugu Hamis Tabasamu Mwagao kubomoa Nyumba zao kwa hiari.
Hii ni kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.