Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao.
Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule?
Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee...
Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye:
a) Uchumi
b)...
Naomba kufahamu in lini hili zoezi linaanza rasmi kwakuwa tulishatuma maombi ya hii kazi ila mpaka sasa kimya na sisikii chochote
Daah!!! Kweli ajira ni shida sana
Kuteua marehemu katika nafasi za serikalini ni ishara ya tatizo kubwa katika mchakato wa vetting au uhakiki wa viongozi wanaoteuliwa. Mchakato wa vetting ni muhimu kwa kuhakikisha kuwa wale...
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Ikulu imekuwa kichekesho...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona nisema haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije anza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo...
Majina haya ni mabaya n yanatweza utu wa mwanamke lkn yamepakwa nakshi kuyafanya yaonekane mazuri. Kamwe wanawake msiyakubali na msikubali kuingia kwenye makundi yenye majina haya.
Ifuatayo ni...
Wakuu salama?
Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye...
Waziri wa Fedha Dr.Mwigulu Nchemba amesema Kwa kipindi chake hatokubali kuona Maskini wanaendelea kitozwa Kodi kwenye biashara vidogo vidogo wakati matajiri wanatumia mbinu kukwepa Kodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.