Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanaume wenzangu naomba mtambue kwamba kama kuna kipindi ambacho unatakiwa kuonyesha mapenzi ya kiwango cha SGR / mapenzi ya hali ya juu ya kujali sana ni pale mkeo anapokuwa mjamzito. Kipindi...
14 Reactions
62 Replies
782 Views
Habari wanaBodi... Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na...
5 Reactions
59 Replies
693 Views
Hii inachekesha kidogo 😂😂😂 Je wewe ni aina gani ya Mke au upo katika aina gani ya mke? Hata kama hajaolewa lakini unatumaini kuwa Mke wa mtu. 1. BOXING WIVES : Hawa ni aina ya wake wanaopigana...
16 Reactions
198 Replies
3K Views
Mwezi Mmoja umepita baada ya kumtumia, lakini yeye pia alichangia ni msichana anae onesha kunipenda sana. katengeneza mazingira Hadi nikaingia mkenge wa kuzini nae marakadhaa. Ndio kwanza...
13 Reactions
107 Replies
2K Views
Wakuu habari, samahani nina shida ni hivi nilikuwa natumia iphone ila badae ikanizingua ikafa jumla, nikapoteza kila kitu, sasa nimenunua android, ila nataka nirudishe kila kitu changu from iphone...
0 Reactions
2 Replies
34 Views
Unapoona Viongozi wa wakuu wa juu wa Chama cha Siasa ni Vigeugeu katika kauli zao jua kabisa hicho chama ni sehemu tu ya kutafutia mikate yao ya Kila siku. VIjana wa CHADEMA wanaodhani...
2 Reactions
38 Replies
870 Views
Mbunge wa Jimbo la Gairo Ahmed Shabiby akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2024/25 Bungeni Jijini Dodoma leo May 23,2024 ameiomba...
2 Reactions
4 Replies
83 Views
PIXEL 3AXL 130,000 PIXEL 3XL 140,000 PIXEL 3 130,000 PIXEL 3A 120,000 PIXEL 4 4G 300,000 PIXEL 4A 5G 290,000 PIXEL 4XL 180,000 PIXEL 5 400,000 PIXEL 5A 330,000 PIXEL 6 230,000 PIXEL 6A 300,000...
2 Reactions
24 Replies
260 Views
Nauza gari yangu aina ya Subaru Forester(Non turbo) ya mwaka 2011. Bei 16m. Gari ipo Dar es Salaam, haina tatizo lolote. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane: 0752357722
0 Reactions
1 Replies
42 Views
Tupo Kariakoo unaletewa bidhaa ndo unalipa kwa aliyeko Dar-es-Salaam punguzo lipo. 0713520180
2 Reactions
210 Replies
7K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,469
Posts
49,691,879
Back
Top Bottom