Huwezi kusikia watu wanaokuja dar kutokea Arusha au Moshi kwamba kwamba hawa siyo raia, wala hiwwezi kusikia watu wa mbeya, ruvuma kwamba hawa siyo raia wakati wapo mipakani.
Ila linapokuja swala...
Weengi wanaamini mweusi ni mpenda njia za mkato 'shortcuts' tena hata hajali kama kuna mahali anaharibu au kuna watu anawaumiza
Weeengi humu wanaamini mtu mweusi ni ungaunga mwana
weengi humu...
Jumamosi ya leo kwangu ni njema sana! Namshukuru Mungu wa mbinguni, pole sana kwa ndugu zetu mnaopitia magumu, Mungu atawasaidia aminini.
Wakuu ni muda wa miaka kadhaa nilikuwa na binti mmoja...
Nimeitafakari sana kauli ya Zitto aliyoitoa kipindi kile ana mgogoro na kilichokuwa chama chake cha CHADEMA mwaka 2014. Akijaribu kumaanisha kuwa huenda kifo cha Chacha Wangwe kilikuwa na walakini...
Mnamo mwezi Machi Houth walitangaza kumiliki kombora la Hypersonic na baada ya hapo ikawa kimya.
Hata hivyo hapo juzi wamelizindua kombora hilo ambalo limepewa jina la Palestine likiwa limepakwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayr kuolew ni mtu wa kondoa ni mrembo sana …...
"Katika siasa tulizonazo za ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi hatujamuona Mwanasiasa mkongwe mwenye uwezo na utashi mwenye Upendo kwa watu kama alionao Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwasababu...
Mwanasiasa wa upanzani nchini Rwanda Diane Rwigara ametupwa nje ya kinyang’anyiro cha urais kwa kutotimiza vigezo vya Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo.
Kulingana na Mwenyekiti wa Tume hiyo Oda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.